Wilaya ya Nsimbo
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Mpanda mjini)

Wilaya ya Nsimbo ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Katavi. Iko mashariki kwa Mpanda (mji).
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 282,568. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 201,102 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Nsimbo (awali: Wilaya ya Mpanda Mjini) - Mkoa wa Katavi - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Ilembo | Kakese | Kashaulili | Kawajense | Makanyagio | Misunkumilo | Mpanda Hotel | Nsemulwa | Shanwe |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |