Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Masisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Masisi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Eneo la Masisi lina ukubwa wa km2 4,734 na imegawanywa kiutawala katika sekta nne: Bahunde, Bashali, Katoyi, na Osso.[1]

Masisi imepakana na Wilaya ya Walikale upande wa magharibi na kaskazini, Wilaya ya Rutshuru upande wa kaskazini mashariki, Wilaya ya Nyiragongo na Goma upande wa mashariki, na Mkoa wa Kivu Kusini upande wa kusini.

Makao makuu yako katika mji wa Masisi. [1]

  1. 1 2 Blaes, X. (Oktoba 2008). "Découpage administratif de la République Démocratique du Congo" (PDF). PNUD-SIG. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-04-01. Iliwekwa mnamo 2011-12-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Masisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.