Wikipedia:Mradi wa Nchi/Guinea Bisau
Mandhari
Huu ni Mradi wa Nchi wa Guinea Bisau.
Jina
[hariri | hariri chanzo]✔ Imeidhinishwa
Gine Bisau
[hariri | hariri chanzo] Ikiwa unaunga au unapinga tafadhali Orodhesha
Nchi ya Equatorial Guinea kwa hii Wikipedia inaitwa Gine ya Ikweta kumaanisha hapa Guinea inatafsiriwa kama Gine na hii inamaanisha Guinea na Guinea Bisau zinapaswa kutumia Huu muundo.
- Jina la sasa - Guinea Bisau.
- Lililopendekezwa - Gine Bisau
Gayle1572.0
(Mtumiaji) 10:46, 15 Mei 2026 (UTC)
- @Gayle157 Ni kweli hapo kuna mkanganyiko. Ikiwa moja imetafsiriwa, nyingine imebakishwa si sawa. Naunga mkono hoja. MuddybLonga 06:38, 15 Mei 2026 (UTC)
- Jina limebadilishwa kulingana na muundo wa Gine katika nchi 3 zinazotumia jina Gine.
- Gayle1572.0(Mtumiaji) 07:39, 15 Mei 2026 (UTC)