Wikipedia:Jumuia/Daruser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ukurasa huu unaelekeza kwenda Wikimedia Community User Group Tanzania. Kundi lilianzishwa kwenye editathon zilizotokea mwanzo wa 2017.

Editathon Julai 2017[hariri chanzo]

Hapa kazi tu
  • Editathon Siku ya Ijumaa: kundi la wanafunzi waliokutana wiki zilizopita na mtumiaji:Kipala wamefanya editathon katika kituo cha Buni Innovation Hub huko Bagamoyo Road. Waliokaribishwa ni wale waliowahi kupakua makala wakionyesha sasa ya kwamba wanaweza kutunga michango!