Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Makala kwa ufutaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wikipedia:Makala kwa ufutaji (jamii MKU) ni mahali ambapo wanachama au wahariri wa Wikipedia hujadili kama makala inastahili kufutwa. Makala zilizoorodheshwa hupitia mjadala baadaye, zoezi la kufuta linaendelea kulingana na maoni ya jumuiya. Matokeo ya kawaida ya MKU ni pamoja na: makala kuendelea kuwepo, kuunganishwa na makala nyingine, kupelekwa tena kwa ukurasa mwingine (redirect), kuhifadhiwa kwa ajili ya marekebisho (incubation), kubadilishwa jina au kuwekwa kwenye kichwa kipya, kuhamishiwa kwenye ukurasa wa mtumiaji, au kufutwa kwa kufuata sera za kufuta. Pia, kurasa za kutoeleweka (disambiguation) pia hupendekezwa kufutwa katika MKU.

Majadiliano ya awali yamehamishwa kwenye kurasa hizi:

Utaratibu wa ufutaji

[hariri chanzo]

Kama yeyote anaona makala haifai, ataweka msimbo wa }}futa{{ au kigezo kingine cha kufuta makala juu ya makala na kutaja sababu zake

  • a) kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala na
  • b) chini kwenye ukurasa huu kwa kuanzisha sehemu mpya chini ya kichwa ==[[JINA LA MAKALA INAYOTAJWA KWA UFUTAJI]]==.
  • Azimio la kufuta si la huyu aliyeileta, ataamua mwingine. Tusubiri siku kadhaa ili mtunga makala au wengine wanaweza kuitetea au kuboresha. Tusifute haraka mno ili tusikatishe moyo wachangiaji wenzetu.
  • Isipokuwa uharabu unaoeleweka moja kwa moja unaweza kufutwa mara moja. Wachangiaji wanaoleta uharabu kwa kusudi wanaweza kubanwa kwa muda fulani au milele na wakabidhi. Tendo la kumbana mchangiaji linapaswa kuelezwa angalau kifupi; kama ni kwa muda pia kwenye ukurasa wa majadiliano wa mhusika.

Ongeza michango chini ya mstari wa mwisho!

Mambo kadhaa yanatia shaka katika makala husika. 1. Muundo. Haiko sawa kimuundo. 2. Amejitangaza. 3. Vyanzo vya makala hakuna. Haifai kubaki.

Kwanza imechanganya lugha. Pili, haisomeki wala kurekebishika.

Iboreshwe kwa kuongeza vyanzo. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:38, 4 Septemba 2025 (UTC)[jibu]

Apologies for writing in English.

This is a frequently-deleted item at Wikidata (d:Q124806252, d:Q41554779, d:Q134933109, d:Q135104634, d:Q135180748) and elsewhere (en:Devzboi1 (record producer)). All references appear to be self-created. This looks like self-promotion and cross-wiki spam. Bovlb (majadiliano) 16:44, 3 Agosti 2025 (UTC)[jibu]

Response in English (for Bovlb and others):
Dear all,
I kindly request a reconsideration of the deletion decision regarding both the Wikipedia article and its related Wikidata item. The subject of the article is verifiably notable within his domain, with multiple independent sources that confirm his professional contributions in the music industry. Boi never stop (majadiliano) 18:02, 3 Agosti 2025 (UTC)[jibu]
Devzboi is nobody but non-encyclopedic hooligan entity akin to File:Radical_Action_Anti_Fascist.svg. ~2025-32418-4 (talk) 09:05, 4 Agosti 2025 (UTC)[jibu]

Yeye si mbunifu wa mitindo anayejulikana sana. Vyanzo ni nakala za kulipia au zisizotegemewa. Ukurasa asili wa Wikipedia wa Kiingereza umefutwa. Acoustical (majadiliano) 23:21, 16 Agosti 2025 (UTC)[jibu]

Napendekeza ifutwe Czeus25 Masele (majadiliano) 20:30, 23 Agosti 2025 (UTC)[jibu]
Irekebishwe na baadhi ya sehemu zenye vyanzo visivyokua vya kuaminika zipunguzwe. Czeus25 Masele (majadiliano) 16:45, 25 Agosti 2025 (UTC)[jibu]
Yeye si mashuhuri na vyanzo si vya kuaminika. Hatupaswi kuruhusu Wikipedia itumike kutangaza huduma zake. Kurasa zake za Wikipedia za Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu zimefutwa kwa sababu hakuna mtu angeweza kupata vyanzo bora zaidi. Acoustical (majadiliano) 07:23, 31 Agosti 2025 (UTC)[jibu]
Imefutwa. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:35, 4 Septemba 2025 (UTC)[jibu]

Makala hii ina matini sawa na makala ya Rushwa. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:27, 4 Septemba 2025 (UTC)[jibu]

Imefutwa Olimasy (majadiliano) 20:54, 30 Septemba 2025 (UTC)[jibu]