Wikichanzo:Baba yetu
Mandhari
The Lord's Prayer in Swahili (Kiswahili Bible CLT)
[hariri chanzo]Mathayo 6:9-13
9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.
10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
11 Utupe leo chakula chetu cha kila siku. 12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’ [ Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
The Lord's Prayer in Swahili (Catholic Version)
[hariri chanzo]- Baba Yetu uliye mbinguni,
- Jina lako litukuzwe;
- Ufalme wako ufike,
- Utakalo lifanyike
- Duniani kama mbinguni.
- Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
- Utusamehe makosa yetu,
- Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
- Usitutie katika kishawishi,
- Lakini utuopoe maovuni.
- Amina.