Wiki Indaba
Mandhari
Wiki Indaba ni mkutano maalumu unaoandaliwa na taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya bara la Afrika.[1][2] Midahalo pamoja na mada mbalimbali kuhusiana na miradi ya Wikipedia katika bara la Afrika hujadiliwa katika mkutano huo.
Maelezo
[hariri | hariri chanzo]Maelezo haya yanaonyesha vipindi tofauti tofauti ambavyo mkutano wa Wiki Indaba ulifanyika.
Nembo | Mkutano | Tarehe | Nchi |
---|---|---|---|
WikiIndaba 2014 | Juni 20–22 | Johannesburg, Afrika Kusini[3] | |
WikiIndaba 2017 | Januari 20–22 | Accra, Ghana[4] | |
WikiIndaba 2018 | Machi 16–18 | Tunis, Tunisia[5] | |
WikiIndaba 2019 | Novemba 8–10 | Abuja, Nigeria[6] | |
WikiIndaba 2021 | Novemba 5–7 | Kwa Njia ya mtandao | |
WikiIndaba 2022 | Novemba 4–6 | Kigali, Rwanda |
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fripp, Charlie (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-01-21.
- ↑ "Wiki Indaba 2017". Retrieved on 2021-09-22. (en) Archived from the original on 2020-04-13.
- ↑ June, Charlie Fripp on 24th (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-02-08.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Wiki Indaba Kickstarts in Accra, Ghana - The African Dream". www.theafricandream.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-29.
- ↑ "WikiIndaba conference 2018". Iliwekwa mnamo 2017-12-24.
- ↑ "WikiIndaba conference 2019". Iliwekwa mnamo 2019-08-25.