Western Star Trucks
Mandhari
Western Star Trucks ni mtengenezaji wa malori kutoka Marekani mwenye makao yake Portland, Oregon.
Ni kampuni tanzu ya Daimler Truck North America na inaleta malori yake sokoni kupitia maduka ya Freightliner[1][2][3].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Western Star Australia buys Western Star Canada Truck & Bus Transportation April 1991 page 9
- ↑ Star Still Shines Bright Australasian Transport News June 2013 pages 60-63
- ↑ An empire built to last New Zealand Herald March 1, 2015
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |