Wes Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brown baada ya mechi dhidi ya Barcelona Aprili 2008.

Wesley Michael Brown (alizaliwa Oktoba 13, 1979) ni mwanamichezo wa Uingereza. Alicheza kama beki katika klabu ya soka ya Manchester United F.C. na klabu ya nchini India ijulikanayo kama Kerala Blasters.

Wesley alianza maisha yake ya soka alipojiunga na kituo cha kufundishia wachezaji wadogo cha Manchester United alipokua na umri wa miaka 12 mnamo mwaka 1992.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wes Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.