Werner Kohlmeyer
Mandhari
| Werner Kohlmeyer | |
| Amezaliwa | 19 Aprili 1924 Kaiserslautern, Ujerumani |
|---|---|
| Amekufa | 26 Machi 1974 (umri 49) Mainz-Mombach, Ujerumani Magharibi |
| Nchi | Ujerumani Magharibi |
| Urefu | 1.74 m |
Werner Kohlmeyer (19 Aprili 1924 – 26 Machi 1974) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani aliyecheza nafasi ya beki wa pembeni. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Ujerumani Magharibi iliyoshinda kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1954. Kwa jumla alicheza mechi 22 za kimataifa akiwa na Ujerumani Magharibi.[1] Pia alichezea klabu ya 1. FC Kaiserslautern kuanzia mwaka 1941 hadi 1957.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Matthias Arnhold (3 Novemba 2016). "Werner Kohlmeyer – International Appearances" (kwa English). RSSSF. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Werner Kohlmeyer" (kwa German). weltfussball.de. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Werner Kohlmeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |