Werda (Botswana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Werda

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Botswana" does not exist.Mahali katika Botswana

Majiranukta: 25°16′00″S 23°17′00″E / 25.266667°S 23.283333°E / -25.266667; 23.283333
Kusini Botswana
Wilaya Kgalagadi
Vijiwilaya Kgalagadi South

Werda ni kijiji katika Wilaya ya Kgalagadi huko nchini Botswana. Kijiji kipo karibu na mpaka wa nchi ya Afrika Kusini. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 1,961 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2001.[1]

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]