Wendell Berry
Mandhari
Wendell Erdman Berry (amezaliwa 5 Agosti 1934) ni mwandishi wa riwaya, mshairi, mwandishi wa insha, mwanaharakati wa mazingira (environmental activist), mkosoaji wa utamaduni (cultural critic), na mkulima kutoka Marekani.[1]
Anahusishwa kwa karibu na jimbo la vijijini la Kentucky, ambapo alitengeneza mawazo yake mengi ya kilimo na maisha ya kijijini katika insha za awali kama The Gift of Good Land (1981) na The Unsettling of America]] (1977).
Mtazamo wake kuhusu utamaduni na uchumi wa jamii za vijijini pia unaonekana katika riwaya na hadithi za mji wa kubuni wa Port William, ikiwemo A Place on Earth (1967), Jayber Crow (2000), na That Distant Land (2004).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Wendell) E. Berry biography". National Endowment for the Humanities. [Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2015.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)](https://web.archive.org/web/20190516142910/https://www.neh.gov/about/awards/jefferson-lecture/wendell-e-berry-biography|url-status=live}})
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wendell Berry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |