Weili Dai
Mandhari
Weili Dai (Alizaliwa 1961 au 1962) ni mfanyabiashara nchini Marekani mwenye asili ya Uchina. Ni mwanzilishi mwenza, aliyekuwa mkurugenzi, na aliyekuwa rais wa Marvell Technology Group, na ndiye mwanamke pekee aliyekuwa mwanzilishi mwenza wa kampuni kubwa ya semiconductor.[1] Alihamia Marekani akiwa na umri wa miaka 17 na alipata shahada ya sayansi ya kompyuta kutoka Chuo Kikuu cha California, Berkeley.[2] Alianzisha Marvell mwaka 1995 pamoja na mumewe Sehat Sutardja na kaka yake.[3] Mnamo Juni 2024, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 1.3.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Women! Embrace your inner geek". CNN. 20 March 2012.
- ↑ "25 Notable Chinese-Americans" (PDF). Forbes.
- ↑ Warren, Christina (21 Machi 2012). "Women in Tech: How One Entrepreneur Blazed a Trail". Mashable. Iliwekwa mnamo Aprili 23, 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Weili Dai". Forbes.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Weili Dai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |