Wazungu wa Tanzania
Mandhari
Wazungu wa Tanzania ni walowezi au wahamiaji nchini Tanzania wenye asili ya Ulaya (kwa namna ya pekee Funguvisiwa la Britania, Ujerumani, Ugiriki) na Afrika Kusini wanaokadiriwa kuwa 10,000–20,000 na wanajihusisha na biashara, utalii, hifadhi ya mazingira na kilimo, hasa katika miji kama Arusha, Dar es Salaam, na Moshi.
Wakati wa ukoloni watu wa namna hiyo walishika uongozi katika siasa, uchumi, huduma za kijamii n.k. Uwepo wao umeathiri sana utamaduni wa wazawa, hasa waliopata elimu kwao.
Baadhi yao walizaliana pia na wazawa na ndio chanzo cha machotara wengi kidogo nchini.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wazungu wa Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |