Nenda kwa yaliyomo

Waromani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waromani ni kabila la watu wa Kihindi-Kiulaya ambao kwa utamaduni wanaishi bila makazi ya kudumu. Wanakadiriwa kuwa milioni 4-12 na kupatikana katika nchi nyingi za dunia, hasa Ulaya na Amerika, ingawa asili yao ni Uhindi kaskazini. Tafiti zimeonyesha kwamba babu zao walihama huko miaka 1,500 iliyopita na kufikia Balkani miaka 900 iliyopita.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waromani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.