Nenda kwa yaliyomo

Wanuer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Wanuer nchini Sudan Kusini.

Wanuer ni moja ya makabila ya Sudani Kusini. Ndilo kabila la pili kwa ukubwa nchini, wao ni asilimia ishirini ya watu wote wa Sudani Kusini. Wanuer ni Waniloti na wanaishi hasa katika mkoa wa Nile ya Juu, kaskazini mashariki mwa nchi, lakini pia katika jimbo la Gambela nchini Ethiopia. Lugha yao ni Kinuer, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

  • Evans-Pritchard, E.E. (2016) [1940]. NUER: a description of the modes of livelihood and political institutions of a nilotic people ... (classic reprint). Forgotten Books. ISBN 978-1-33380-312-4. OCLC 980437822.
  • Lobban, Richard Andrew (2010). Global Security Watch - Sudan. Santa Barbara, CA: Praeger.
  • Peters-Golden, Holly (2012). Culture sketches: case studies in anthropology (tol. la 6th). Dubuque, Iowa: The McGraw-Hill. ISBN 978-0-07811-702-2. OCLC 716069710.
  • Shandy, Dianna J. (2006). Nuer-American Passages: Globalizing Sudanese Migration. Gainesville, Florida: U of Florida.
  • Wechtuor, Kuajien Lual, Yual Doctor Chiek and Peter Gai Manyuon (2016), The Nuer Nation, Amazon.com, ISBN 978-1540632364
  • Evans-Pritchard, E. E. (1948). "Nuer Marriage Ceremonies". Africa: Journal of the International African Institute. 18 (1): 29–40. doi:10.2307/3180465. JSTOR 3180465. S2CID 144927252.

Jon D. Holtzman (2007). Nuer Journeys, Nuer Lives: Sudanese Refugees in Minnesota. Allyn and Bacon. ISBN 9780205543328.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]

• Katarzyna Grabska 2014 "Gender, identity home: Nuer repatriation to Southern Sudan Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.," James Currey: Oxford.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanuer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.