Wapremontree
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wanorberti)

Wapremontree au Wanorberti au Wakanoni Weupe ni watawa wa shirika la kikanoni lililoanzishwa na Norbert wa Xanten mwaka 1120 huko Premontree, karibu na Laon.
Ufupisho wa jina la shirika ni O.Praem (Ordo Praemonstratensis).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Hippolyte Helyot, Histoire des ordres réligieux (1714).
- Max Heimbucher, Orden u. Kongregationen (1907), ii. 56.
- Wolfgang Grassl, Culture of Place: An Intellectual Profile of the Premonstratensian Order. Nordhausen: Bautz, 2012.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Premonstratensian Home Page
- St Norbert College, Catholic Secondary School in the Norbertine Tradition)
- St. Norbert College - Private Catholic College (Norbertine Tradition)
- Archmere Academy - Catholic School in the Norbertine Tradition
- Archmere Alumni Association Ilihifadhiwa 26 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- The website for St. Michael's Abbey of the Norbertine Fathers in Silverado, California
- The website of the Norbertine Community of Our Lady of England Priory, Storrington, West Sussex, UK Ilihifadhiwa 8 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Norbertines of Chelmsford, UK Ilihifadhiwa 16 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
- Center for Norbertine Studies, St. Norbert College, De Pere, Wisconsin Ilihifadhiwa 1 Machi 2014 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wapremontree kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
