Wanksta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Wanksta”
“Wanksta” cover
Single ya 50 Cent
kutoka katika albamu ya Music from and Inspired by the Motion Picture 8 Mile na Get Rich or Die Tryin'
Imetolewa 6 Mei 2002
Muundo 12"
Imerekodiwa 2002
Aina Gangsta rap
Urefu 3:44
Studio Aftermath, Interscope, Shady, G-Unit Records
Mtunzi Curtis Jackson
Mtayarishaji John "J-Praize" Freeman (mixed by Dr. Dre)
Certification Gold (RIAA)
Mwenendo wa single za 50 Cent
"Thug Love"
(1999)
"Wanksta"
(2002)
"In da Club"
(2003)

"Wanksta" ni single ya pili kutoka katika albamu ya kibwagizo halisi cha filamu ya 8 Mile. Kibao kilitolewa mnamo mwaka wa 2002, wimbo, ulioimbwa na 50 Cent, ulifikia nafasi ya 13. Ulikuwa wa kwanza kutumiwa kwenye mixtape ya No Mercy, No Fear.

Nafasi ya chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2002) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 13
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 4
U.S. Billboard Hot Rap Tracks 3

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]