Wang Zhengguo
Mandhari
Wang Zhengguo (12 Desemba 1935 – 5 Januari 2025) alikuwa mhandisi wa China aliyebobea katika upasuaji wa uwanjani (aina ya upasuaji unaofanyika nje ya mazingira ya hospitali kwa dharura) na mwanachama wa Chuo cha Uhandisi cha China (Chinese Academy of Engineering). [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 王正国院士和妻子的爱心长跑. cae.cn (kwa Kichina). 6 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Zhang Guosheng (张国圣) (17 Aprili 2012). 王正国院士夫妇20年捐资助学. gmw.cn (kwa Kichina). Iliwekwa mnamo 8 Januari 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wang Zhengguo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |