Nenda kwa yaliyomo

Wang Renzhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wang Renzhi (Kichina: 王忍之; Pinyin: Wáng Rěnzhī; Septemba 19334 Februari 2025) alikuwa mwanasiasa wa China.

Alijulikana kama mwananadharia mkuu wa kihafidhina na mshirika wa Deng Liqun. Wang alihudumu kama mkuu wa Idara ya Uenezi ya Chama cha Kikomunisti cha China (Publicity Department of the Chinese Communist Party) kati ya mwaka 1987 na 1992. [1][2][3]

{{reflist}}

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wang Renzhi Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 十二届中央委员会候补委员名单 (共138人). people.com.cn (kwa Kichina). Iliwekwa mnamo 11 Machi 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 十三届中央委员会委员名单(175人). people.com.cn (kwa Kichina). Iliwekwa mnamo 11 Machi 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Wu Wei (吴伟) (28 Julai 2014). 十三大前,赵紫阳与“左”斗智斗勇. nytimes.com (kwa Kichina). Iliwekwa mnamo 11 Machi 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)