Nenda kwa yaliyomo

Wanata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanata ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara (wilaya ya Serengeti, karibu na hifadhi ya taifa). Kwa asili walikuwa wawindaji-wakusanyaji lakini kwa sasa ni wakulima na wafugaji.

Lugha yao ni lahaja ya Kiikoma, jamii ya lugha za Kibantu.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanata kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.