Wamisionari wa Damu Azizi
Mandhari
Wamisionari wa Damu Azizi (jina kamili la Kilatini: Congregatio Missionariorum Pretiosissimi Sanguinis Domini Nostri Jesu Christi) ni shirika la maisha ya kitume kwa wanaume lililoanzishwa na Gaspare del Bufalo mwaka 1815. Alipofariki kwa kipindupindu mwaka 1837 wanashirika walikuwa tayari 200 hivi.
Tangu mwaka 1966 shirika limestawi nchini Tanzania. Kwa jumla duniani lilikuwa na mapadri na mabruda 673 mwaka 2018.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamisionari wa Damu Azizi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
