Nenda kwa yaliyomo

Walter Ivan de Azevedo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Walter Ivan de Azevedo (8 Mei 192628 Januari 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Brazil. Alikuwa askofu wa São Gabriel da Cachoeira kuanzia mwaka 1988 hadi 2002.

Azevedo alifariki tarehe 28 Januari 2024, akiwa na umri wa miaka 97.[1]

  1. "Morre Dom Walter Azevedo, bispo emérito de São Gabriel da Cachoeira (AM)". g1.globo. 28 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 29 Januari 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.