Nenda kwa yaliyomo

Walda Heywat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Walda Heywat (16331710), pia akijulikana kama Mitku, alikuwa mwanafalsafa wa Ethiopia, mwanafunzi mpendwa wa Zara Yacob, ambaye aliandika kazi inayoheshimika sana kuhusu asili ya ukweli na akili. Heywat alichukua kazi ya mwalimu wake na kuipanua, akishughulikia changamoto zilizokuwa zikiwakabili Waethiopia wa kipindi hicho. [1]

  1. Krause, Andrej. "The Rationality of Faith, God, and the Soul: A Critique of Walda Heywat". Philosophia Africana: Analysis of Philosophy and Issues in Africa and the Black Diaspora. 11 (2 (August 2008)): 89–101 (13 pages).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walda Heywat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.