Wakipsigis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wakipsigis ni jina la kabila dogo la Waniloti ambalo huhesabiwa katika kabila kuu la Wakalenjin.

Lugha[hariri | hariri chanzo]

Wao huongea lugha ya Kikipsigis, mojawapo ya lugha za Kiniloti.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakipsigis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.