Wajuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rasi ya Jutland bado ina jina la Wajuti.
Waangli, Wasaksoni na Wajuti walivyogawana Britania.

Wajuti au Wayuti (kutoka Kilatini Iutum, jina la rasi kwenye bahari ya Baltiki ambayo siku hizi imegawanyika kati ya Ujerumani na Denmark) walikuwa kabila la Wagermanik ambao kutoka huko pamoja na jirani zao Waangli na baadhi ya Wasaksoni, jumla watu 200,000 hivi, walivamia Britania mwishoni mwa karne ya 4 na baada ya hapo, wakiweka msingi wa Uingereza wa leo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]