Wahindi wa Tanzania
Mandhari

Wahindi wa Tanzania ni walowezi au wahamiaji nchini Tanzania wenye asili ya Uhindi na Pakistan wanaokadiriwa kuwa 60,000[1][2][3] na wanajihusisha kwa kiwango kikubwa sana na biashara na ujasiriamali, hasa katika miji kama Dar es Salaam, na Zanzibar. Idadi yao ndogo haifanani na ile ya kampuni wanazozimiliki[4].
Wengi wao wana uraia wa Tanzania na kujihusisha na siasa ya nchi pia. Upande wa dini, wengi ni Waislamu na Wahindu, lakini wapo pia Wasingasinga, Wakristo n.k.
Uwepo wao ulitangulia ukoloni ukaathiri sana utamaduni wa wazawa hadi leo. Vasco da Gama alipofika kutoka Ureno akiwa Mzungu wa kwanza, alikuta Wahindi huko Kilwa Kisiwani[5][6].
Baadhi yao walizaliana pia na wazawa na ndio chanzo cha machotara wengi kidogo nchini.
Watu maarufu
[hariri | hariri chanzo]- Richa Adhia, Miss Tanzania 2007
- Andy Chande, mfanyabiashara
- Mohammed Dewji, mbunge (2005–2015)
- Benjamin Fernandes, mjasiriamali
- Ammaar Ghadiyali, mwogeleaji katika Olimpiki ya 2012
- Amir H. Jamal, waziri wa zamani
- Ismail Jussa, mwanasiasa
- Al Noor Kassum, waziri wa zamani
- Mustafa Jaffer Sabodo, mwanauchumi
- Freddie Mercury, mwanamuziki wa rock
- Mohamed Raza, mwakilishi katika Bunge la Zanzibar
- Ally Rehmtullah, mbunifu wa mitindo
- Abdul Sheriff, mwanahistoria
- Issa G. Shivji, profesa
- Sonia Tumiotto, mwanariadha
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Julius Nyerere na Amir Jamal (kulia)
- Paredi ya St. John Ambulance
- Karimjee Hall, jengo la bunge, Dar es Salaam
- Hassanali Karimjee Jivanjee Hospital, Zanzibar
- Makao makuu ya zamani ya Karimjee Co huko Zanzibar
- Zahanati ya Ithnashiri, Zanzibar
- Bharmal Building, sasa ofisi za manispaa, Zanzibar
- Jengo la wakati wa ukoloni lenye logo ya Om (1930)
- Jengo la Karimjee Jivanjee Office huko Dar es Salaam
- Hekalu la Shakti, Zanzibar
- Hekalu la Swaminarayan, Dar es Salaam
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "India - Tanzania Relations" (PDF). Ministry of External Affairs. 2015. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2015.
Tanzania has about 60,000 PIOs.. There are about 10,000 Indian nationals [expatriates].
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tanzania: A Key Partner for India in the Western Indian Ocean Region | Manohar Parrikar Institute for Defence Studies and Analyses". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-09-12. Iliwekwa mnamo 2026-03-18.
- ↑ "Tanzania: A Key Partner for India in the Western Indian Ocean Region | Manohar Parrikar Institute for Defence Studies and Analyses". www.idsa.in. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-09-12. Iliwekwa mnamo 2024-02-21.
- ↑ "Enterprising skills make Indian-origin Tanzanians business leaders". www.aa.com.tr. Iliwekwa mnamo 2024-02-21.
- ↑ Wood, Marilee (2012). "Interconnections: glass beads and trade in southern and eastern Africa and the Indian Ocean - 7th to 16th centuries AD". Azania: Archaeological Research in Africa (kwa Kiingereza). 47 (2): 248. doi:10.1080/0067270X.2012.680307. ISSN 0067-270X. S2CID 162211326.
- ↑ Jeevanjee 1912
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wahindi wa Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |