Wahasidimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wahasidimu ni kundi la Wayahudi (kwa Kiebrania חסידות, hasidut, kutoka neno lenye maana ya "ibada").

Asili yake ni mwamko wa kiroho katika karne ya 18 ambao kutoka Ukraine magharibi ulienea haraka Ulaya Mashariki kote.

Israel Ben Eliezer, "Baal Shem Tov", anahesabiwa kuwa mwanzilishi wake.

Leo wafuasi wake ni 400,000 hivi, na wengi wao wako Marekani, Israel na Ufalme wa Muungano.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.