Nenda kwa yaliyomo

Wachina wa Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wachina walijenga reli ya TAZARA kuunganisha Zambia na Tanzania[1].

Wachina wa Tanzania ni walowezi au wahamiaji nchini Tanzania wenye asili ya China wanaokadiriwa kuwa 30,000[2] na wanajihusisha sana na ujenzi, biashara[3] na tiba[4], hasa katika miji kama Dar es Salaam, na Zanzibar.

Wakati wa ukoloni watu wa namna hiyo waliitwa na Wajerumani mwaka 1891.[5], wengine wengi zaidi walihamia Unguja miaka ya 1930[6], wengine walifika barani miaka ya 1960 na 1970 kusaidia miradi ya maendeleo[7] , hatimaye wengine walizidi kumiminika kuanzia miaka ya 1990 kama wajasiriamali na wafanyabiashara[8].

Baadhi yao walizaliana pia na wazawa na ndio chanzo cha machotara wengi kidogo nchini.

  1. ↑ Qu 2008
  2. ↑ Tagy, Mwakawago (14 Januari 2013). "Dar-Beijing for improved diplomatic-ties". Daily News. Dar es Salaam. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Mei 2013. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ Hsu 2008, p. 234
  4. ↑ Hsu 2008, p. 222,227
  5. ↑ Mwalimu 2004, p. 15
  6. ↑ Hsu 2006
  7. ↑ Monson 2004
  8. ↑ Hsu 2006, p. 113

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wachina wa Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.