Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Waanunsyata)


Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari (maarufu kama Waanunsyata; kwa Kilatini: Ordo de Annuntiatione Beatæ Mariæ Virginis, kifupi: O.V.M. [1]) ni shirika la kimonaki lililoanzishwa na Yoana wa Valois (Nogent-le-Roi, Ufaransa, 23 Aprili 1464 – Bourges, Ufaransa, 4 Februari 1505), binti mfalme wa Ufaransa na kwa muda mfupi malkia wa nchi.
Baada ya ndoa yake na Alois XII kutangazwa batili alikazania maisha ya kiroho na kutafakari juu ya msalaba wa Yesu akawa abesi mwanzilishi wa monasteri chini ya uongozi wa Ndugu Wadogo Waoservanti.
Mwishoni mwa mwaka 2008, masista walikuwa 78 katika monasteri 6 huko Ufaransa, Ubelgiji, Polandi na Kosta Rika.[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ P. Péano, DIP, vol. I (1974), col. 658.
- ↑ http://annonciade.pagesperso-orange.fr/aujourdhui.htm
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Annuario Pontificio per l'anno 2010, Libreria Editrice Vaticana, Città del Vaticano 2010. ISBN 978-88-209-8355-0.
- Guerrino Pelliccia e Giancarlo Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), 10 voll., Edizioni paoline, Milano 1974-2003.
| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |