Nenda kwa yaliyomo

Włodzimierz Czacki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Włodzimierz Czacki (16 Aprili 18348 Machi 1888) alikuwa prelati wa Polandi katika Kanisa Katoliki ambaye alitumia maisha yake ya kikuhani katika Curia ya Roma. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1882.[1][2]

  1. Acta Sanctae Sedis (PDF). Juz. la XV. 1882. uk. 153. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Acta Sanctae Sedis (PDF). Juz. la XV. 1882. uk. 399. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.