Nenda kwa yaliyomo

Wörthersee Stadion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wörthersee Stadion ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Klagenfurt nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya SK Austria Klagenfurt na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 32,000.[1]

  1. "28 Black Arena". Sportpark Klagenfurt. 2024-10-20. Iliwekwa mnamo 2024-10-03.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Wörthersee Stadion kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.