Nenda kwa yaliyomo

Vyacheslav Skomorokhov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vyacheslav Semyonovic Skomorokhov (4 Oktoba 1940 - 5 Novemba 1992) [1] alikuwa mwanariadha wa Ukraini ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1968. [2] Alikuwa karibu kiziwi tangu utotoni na pia alishiriki katika Michezo ya Viziwi ya Dunia mwaka 1961,1969, 1973 na 1977. [3] Pia alishinda medali katika Michezo ya Olimpiki ya viziwi.

  1. Vyacheslav Skomorokhov's grave Archived 2018-03-23 at the Wayback Machine
  2. "Sports-Reference". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2025-06-14.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  3. "Deaflympics". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-31. Iliwekwa mnamo 2025-06-14.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vyacheslav Skomorokhov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.