Vozinha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josimar Dias (anajulikana kama Vozinha; alizaliwa Mindelo, São Vicente, Cape Verde, 3 Juni 1986) ni mchezaji anayecheza kama kipa wa timu ya taifa ya Cape verde na klabu ya AEL Limassol.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vozinha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.