Nenda kwa yaliyomo

Vorwärts Stadium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Vorwärts Stadium ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Steyr nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Vorwärts Steyr na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,500. [1]

  1. Informationen zum Stadion - https://www.v Ilihifadhiwa 11 Januari 2016 kwenye Wayback Machine.orwaerts-steyr.at/liwest-arena
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Vorwärts Stadium kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.