Nenda kwa yaliyomo

Vladimir Luppian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vladimir Luppian (1892–1961) alikuwa mchoraji wa Urusi.[1] Moja ya lithograph zake, iliyoitwa "The Third [Communist] International", iliwekwa kwenye maonyesho ya Views and Re-Views: Soviet Political Posters and Cartoons katika maktaba ya Brown University Library kuanzia tarehe 6 Septemba hadi 19 Oktoba 2008.[2]

  1. ↑ "Vladimir Luppian". MutualArt.com. Iliwekwa mnamo 31 May 2017. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help); line feed character in |accessdate= at position 3 (help)
  2. ↑ "VLADIMIR LUPPIAN: "The Third [Communist] International"". Brown University Library. Brown University. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2017. {{cite web}}: line feed character in |website= at position 6 (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Luppian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.