Nenda kwa yaliyomo

Vladimir Beșleagă

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vladimir Beșleagă

Vladimir Beșleagă (25 Julai 193125 Februari 2025) alikuwa mwandishi na mwanasiasa wa Moldova.[1][2]

Maisha na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Vladimir Beșleagă alizaliwa tarehe 25 Julai 1931 katika Mălăiești kwa wazazi wake Eugenia na Vasile Beșleagă. Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Moldova mwaka 1955. Aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la Moldova.Amekuwa mwanachama wa Umoja wa Waandishi wa Moldova tangu mwaka 1965.

  1. "Beşleagă Vladimir". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-07-09. Iliwekwa mnamo 2010-07-19.
  2. "Scriitorul Vladimir Beșleagă s-a stins din viață". ZDG. 25 Februari 2025. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Beșleagă Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.