Nenda kwa yaliyomo

Viziwi katika Michezo ya Olimpiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viziwi katika Michezo ya Olimpiki ni idadi kadhaa ya viziwi wameshiriki katika Michezo ya Olimpiki ya kisasa, ambapo anayefahamika kuwa wa kwanza ni Oskar Wetzell, mzamiaji wa Ufini aliyeshiriki kwenye Olimpiki ya mwaka 1908 huko London.

Katika baadhi ya matukio, marekebisho maalum hufanywa ili kuwawezesha wanariadha viziwi kushiriki kikamilifu.[1][2]

Pia kuna mashindano maalum kwa ajili ya watu viziwi yanayojulikana kama "Olimpiki ya Viziwi", yanayoandaliwa na Kamati ya Kimataifa ya Michezo kwa Viziwi. Mashindano haya hufanyika kila baada ya miaka minne, na baadhi ya waliotajwa hapa huenda walishiriki pia huko.

  1. Flaherty, Bryan (19 Aprili 2012). "USA Swimming will allow hand signals to accommodate deaf athletes at Olympic Games". The Washington Post. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2012.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Deaf olympic swimming hopeful Marcus Titus makes history". healthyhearing.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-17. Iliwekwa mnamo 2012-07-31.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Viziwi katika Michezo ya Olimpiki kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.