Vitundu vya mataya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitundu cha taya la ng'ombe.

Vitundu vya mataya (kwa Kilatini alveolus dentalis, kwa Kiingereza dental alveolus) ni nafasi katika mataya zinazoshika vizizi vya meno.

Pamoja na sementi ya meno na ufizi wa meno vitundu hivi ni sehemu ya mfumo unaoshika jino mahali pake tayani.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitundu vya mataya kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.