Vitaly Lazarenko
Mandhari
Vitaly Yefimovich Lazarenko (9 Mei, 1890 – 18 Mei, 1939) alikuwa mchekeshaji na mwanaakrobati wa Urusi na Muungano wa Kisovieti, aliyejulikana kwa ujuzi wake wa kiakrobati na matumizi ya kejeli za kisiasa wakati wa maonesho yake. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Vitaly Lazarenko". Oxford Encyclopedia of Theatre and Performance. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vitaly Lazarenko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |