Vita vya tatu vya Kiyahudi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Palestina katika karne ya 1.

Vita vya tatu vya Kiyahudi dhidi ya Warumi (132136 BK) vilifanyika hasa katika Yudea, sehemu ya Dola la Roma.

Vilifuata vile vya kwanza (66-73) vilivyotokea katika Yudea na vya pili (115117), hasa nje ya Palestina (Libya, Misri, Kupro na Mesopotamia).

Pamoja na ushujaa wa Wayahudi waliopigania uhuru wa nchi yao chini ya Simoni Bar Kokhba, hatimaye Warumi walipata ushindi, waliangamiza Wayahudi wengi, walifuta mamlaka yao ya ndani na kuwafukuza moja kwa moja kutoka Yerusalemu iliyojengwa upya kama mji wa Kiroma uliotwa "Aelia Capitolina". Wayahudi waliruhusiwa kuutembelea lakini waliweza kurudi tu baada ya uvamizi wa Kiislamu mnamo mwaka 638.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Eshel, Hanan (2003). "The Dates used during the Bar Kokhba Revolt". Katika Peter Schäfer. The Bar Kokhba War Reconsidered: New Perspectives on the Second Jewish Revolt Against Rome. Mohr Siebeck. ku. 95–96. ISBN 978-3-16-148076-8. 
 • Yohannan Aharoni & Michael Avi-Yonah, The MacMillan Bible Atlas, Revised Edition, pp. 164–65 (1968 & 1977 by Carta Ltd.)
 • The Documents from the Bar Kokhba Period in the Cave of Letters (Judean Desert studies). Jerusalem: Israel Exploration Society, 1963–2002.
 • W. Eck, 'The Bar Kokhba Revolt: the Roman point of view' in the Journal of Roman Studies 89 (1999) 76ff.
 • Peter Schäfer (editor), Bar Kokhba reconsidered, Tübingen: Mohr: 2003
 • Aharon Oppenheimer, 'The Ban of Circumcision as a Cause of the Revolt: A Reconsideration', in Bar Kokhba reconsidered, Peter Schäfer (editor), Tübingen: Mohr: 2003
 • Faulkner, Neil. Apocalypse: The Great Jewish Revolt Against Rome. Stroud, Gloucestershire, UK: Tempus Publishing, 2004 (hardcover, ISBN 0-7524-2573-0).
 • Goodman, Martin. The Ruling Class of Judaea: The Origins of the Jewish Revolt against Rome, A.D. 66–70. Cambridge: Cambridge University Press, 1987 (hardcover, ISBN 0-521-33401-2); 1993 (paperback, ISBN 0-521-44782-8).
 • Richard Marks: The Image of Bar Kokhba in Traditional Jewish Literature: False Messiah and National Hero: University Park: Pennsylvania State University Press: 1994: ISBN 0-271-00939-X
 • David Ussishkin: "Archaeological Soundings at Betar, Bar-Kochba's Last Stronghold", in: Tel Aviv. Journal of the Institute of Archaeology of Tel Aviv University 20 (1993) 66ff.
 • Yadin, Yigael. Bar-Kokhba: The Rediscovery of the Legendary Hero of the Second Jewish Revolt Against Rome. New York: Random House, 1971 (hardcover, ISBN 0-394-47184-9); London: Weidenfeld and Nicolson, 1971 (hardcover, ISBN 0-297-00345-3).
 • Mildenberg, Leo. The Coinage of the Bar Kokhba War. Switzerland: Schweizerische Numismatische Gesellschaft, Zurich, 1984 (hardcover, ISBN 3-7941-2634-3).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita vya tatu vya Kiyahudi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.