Vita vya Palestina vya 1948
Vita vya Palestina vya 1948 (vinajulikana pia kama Vita vya kwanza vya Waarabu na Waisraeli na kwa lugha ya Kiarabu ni Al-Nakba vikimaanisha maafa) vilikuwa mgogoro mkubwa wa kijeshi na vita ilitokea katika ardhi ya Palestina ailiyokuwa chini ya Mamlaka ya Uingereza kuanzia Novemba 1947 mpaka Julai 1949.
Chanzo cha Vita
[hariri | hariri chanzo]Vita hivi vilianza mapema karne ya 20 sababu ikiwa ni ongezeko la wahamiaji wa Kiyahudi nchini Palestina waliokuwa wakitafuta nchi yao ya asili baada ya mateso makubwa na mauaji ya Holocust yaliyokuwepo Ulaya.
Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha Azimio namba 181 (Mpango wa Kugawanya Palestina), mnamo tarehe 29 Novemba 1947 uliopendekeza kuundwa kwa mataifa mawili huru: la Kiyahudi na la Kiarabu, na kutaka mji wa Yerusalemu kubaki chini ya usimamizi wa kimataifa.Mpango huu ulikubalika na viongozi wa Wayahudi , lakini viongozi wa Kiarabu na Wapalestina waliupinga vikali wakiona si wa haki kwa idadi kubwa ya Waarabu waliokuwepo eneo hilo. Kutokana na mkwamo huo, ghasia na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza mara moja siku iliyofuata.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Vita vya Waarabu na Israeli vya 1948
- Ugomvi wa Waarabu na Israeli
- Mapambano kati ya Israeli na Palestina
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vita vya Palestina vya 1948 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu wakimbizi au masuala ya ukimbizi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vita vya Palestina vya 1948 kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |