Vita vya Oman na Zanzibar
Mandhari
Vita vya Oman na Zanzibar (kwa Kiarabu: حرب عمان-زنجبار) ulikuwa mgogoro wa mwaka 1784 kati ya Milki ya Oman na Zanzibar. Ilikuwa mara ya kwanza kupigana tangu 1779. Unguja, koloni la Oman, iliasi kwa msaada wa vikosi vya Kiafrika kutoka Mombasa na Kisiwa cha Pemba. Oman iliamua iivamie Zanzibar kwa nguvu, na kuiteka katika vita vya muda mfupi. Kikosi cha Oman kilitumwa na Hilal bin Ahmad, mwana mkubwa wa Sultani Ahmad bin Said al-Busaidi.
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vita vya Oman na Zanzibar kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |