Vita Baridi (filamu)
Mandhari
Vita Baridi (2012) ni filamu ya Kitanzania iliyoandikwa na kuongozwa na Jacob Stephen, ikatayarishwa na kampuni ya Jerusalem Films. Hadithi inamhusu Helena, mwanasheria mwenye asili ya Zambia aliyekulia Uingereza, ambaye anafika Tanzania na kukumbwa na “utumwa” wa mapenzi na tapeli anayejiita Kim kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anapojaribu kujinasua na upendo huo wa udanganyifu, huyo tapeli anampatia changamoto kubwa ya kisa kisheria na kihisia na hapo ndipo vita baridi inaanza. hivyo basi filamu ikiendelea kuibua maswali ya uaminifu, upendo, na athari za siri katika mahusiano.[1]
Watayarishaji
[hariri | hariri chanzo]- Mwongozaji Jacob Stephen
- Mwandishi Daniel Manege
- Kamera Chidy Classic
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Rostantus Adrim
- Patcho Mwamba
- Kajala Masanja
- Kessy Lumwata[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vita Baridi (filamu) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Vita Baridi — Bongo Movie | Tanzania". bongocinema.com. Iliwekwa mnamo 2025-08-24.
- ↑ Vita Baridi (2012) - Full cast & crew - IMDb (kwa American English), iliwekwa mnamo 2025-08-24