Vitória Pais Freire de Andrade
Mandhari
Vitória Pais Freire de Andrade (1883–1930) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake kutoka Ureno aliyekuwa na mchango muhimu katika Conselho Nacional das Mulheres Portuguesas (Baraza la Kitaifa la Wanawake wa Ureno – CNMP) katika miaka ya 1920. Pia alijulikana kwa kampeni zake za kupinga mapigano ya ng’ombe (bullfighting) nchini Ureno.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Vitória Pais Freire de Andrade". Centro) de documentação e arquivo feminista Elina Guimarães (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link]
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vitória Pais Freire de Andrade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |