Visvaldas Kulbokas
Mandhari
Visvaldas Kulbokas, JCL (alizaliwa 14 Mei 1974) ni askofu wa Lithuania wa Kanisa Katoliki na mwanadiplomasia katika huduma ya Vatikani.
Tangu mwaka 2021, anahudumu kama Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) nchini Ukraine.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Prelatas Visvaldas Kulbokas nominuotas apaštaliniu nuncijumi Ukrainoje" [Prelate Visvaldas Kulbokas has been nominated as apostolic nuncio to Ukraine]. bernardinai.lt (kwa Kilithuania). 15 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2021.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Archbishop Visvaldas Kulbokas". Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |