Visiwa vya Virgin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Visiwa vya Virgin
Bendera ya Visiwa vya Virgin vya Uingereza
Bendera ya Visiwa vya Virgin vya Marekani

Visiwa vya Virgin ni kundi la visiwa vidogo katika Bahari ya Karibi ambavyo ni sehemu za Antili ndogo karibu na Puerto Rico.

Jina lamaanisha "Visiwa vya bikira". Lilitolewa kwa visiwa hivi na Kristoforo Kolumbus kwa heshima ya Mtakatifu Ursula na bikira zake mashahidi wa imani ya kikristo. Kolumbus aliita mahali pengi alipofika kwa majina ya Biblia au watakatifu wa kanisa katoliki.

Funguvisiwa imegagiwa kati ya Uingereza na Marekani.

Hivyo kuna:

Wakati mwingine visiwa upande wa mashariki ya Puerto Rico huitwa


Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Virgin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.