Visiwa vya Lerins
Mandhari


Visiwa vya Lerins ni funguvisiwa la Ufaransa katika Bahari ya Kati.
Ni maarufu katika historia ya Kanisa kutokana na monasteri iliyolea wamonaki wengi waliopata kuwa maaskofu watakatifu, kuanzia mwanzilishi wake, Honorati wa Arles.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Lerins kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |