Visiwa vya Dhahabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Visiwa vya Dhahabu ni kati ya visiwa vya funguvisiwa la Lamu, kaunti ya Lamu, nchini Kenya.

Vinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]