Virginia Lee Burton
Mandhari
Virginia Lee Burton (30 Agosti , 1909 -15 Oktoba , 1968), ambaye pia alijulikana kwa jina lake la ndoa Virginia Demetrios, alikuwa mchoraji picha wa Marekani na mwandishi wa vitabu vya watoto. Aliandika na kuchora vitabu saba vya watoto, ikiwa ni pamoja na Mike Mulligan and His Steam Shovel (1939) na The Little House (1943), ambavyo vilishinda Medali ya Caldecott. Pia alichora vitabu sita vilivyoandikwa na waandishi wengine[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Virginia Lee Burton", Gloucester Lyceum & Sawyer Free Library Archived 2014-02-03 at Archive.today